juillet 21, 2024
Chicago 12, Melborne City, USA
Politique actualité Sport Mondial

Jean Sumbu : Waongozi wanatafuta jinsi ya kurudisha amani katika jimbo


Mgeni wetu ni Profesa Jean Sumbu ambaye alifanya uchunguzi kuhusu mfumo wa uendeshaji wa kamati za usalama za mitaa za utawala bora katika tarafa za Djugu, Irumu, na Mahagi jimboni Ituri. Anatueleza kuhusu matokeo ya uchunguzi huu pamoja na changamoto zinazopaswa kutatuliwa kwa ajili ya kurejesha mamlaka ya Serikali katika maeneo hayo yaliyoathiriwa na migogoro ya kivita. Ilikuwa wakati wa kikao kilichoandaliwa na Ukaguzi Mkuu wa Wilaya kwa msaada wa sehemu ya Masuala ya Kiraia ya MONUSCO. Jean Sumbu anazungumza na Ezechiel MUZALIA.

/sites/default/files/2024-02/010324-p-s-invitebuniajeansumbu-00-web.mp3Source link

Leave feedback about this

  • Quality
  • Price
  • Service

PROS

+
Add Field

CONS

+
Add Field
Choose Image