congofrance.com Blog MUSIQUE CFTV1 Politique actualité Caddy Adzuba, kiongozi wa chama cha wahandishi wa habari wanawake,AFEM jimboni Kivu ya kusini
Politique actualité Sport Mondial

Caddy Adzuba, kiongozi wa chama cha wahandishi wa habari wanawake,AFEM jimboni Kivu ya kusini


 

Chama cha Wapasha habari  Wanawake AFEM Sud-kivu kinaomba wa vyombo vya habari kuunga mkono  wagombea wanawake katika uchaguzi. Muundo huu  unataja hasa zaidi  readio ya taifa RTNC.Ombi lililotolewa wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Bukavu siku ya sita  kuhusu nafasi  ya wanawake wakati wa uchaguzi nchini Kongo ya kedemokratia. Caddy Adzuba, kiongozi wa AFEM Sud-Kivu ndiye mwalikwa  wetu . Anazungumza na  Jean Kasami./sites/default/files/2023-10/inviteeswahili.mp3

 



Source link

Quitter la version mobile