Mgeni wetu ni mkurugenzi inchini wa Shirika lisilo la kiserikali TPO DRC. Doris Bengi Babuya anazungumzia miradi ya kipaumbele iliyo katika mpango mkakati wa miaka mitano ambao walizindua rasmi mnamo tarehe makumi mbili na mbili Februari mwaka tunao huko Bukavu. Tunamsikiliza kwenye maikrofoni ya Jean Kasami.
/sites/default/files/2024-02/290224-p-s-invitebukavudorisbengibabuya-00-web.mp3