mai 21, 2024
Chicago 12, Melborne City, USA
Politique actualité Sport Mondial

Murhabazi Namegabe: Sheria ya inchi ya Kongo inakataza kusikuwe na watoto ndani ya jeshi


Mgeni wetu ni Murhabazi Namegabe, mkurugenzi wa BVES na mratibu wa mkoa wa Mtandao wa Mashirika ya Kiraia dhidi ya uandikishaji na matumizi ya watoto na vikosi vya jeshi na vikundi vyenye kujihami silaha. Anavipongeza vikosi vya usalama vya Kongo kwa uungaji mkono wao katika vita dhidi ya utumiaji na uandikishaji wa watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na nane katika makundi yenye silaha. Murhabazi Namegabe anazungumza na Jean Kasami.

/sites/default/files/2024-02/200224-p-s-invitebukavumurhabazi_nemgabe-00-web.mp3Source link

Leave feedback about this

  • Quality
  • Price
  • Service

PROS

+
Add Field

CONS

+
Add Field
Choose Image