Kwa Siku ya leo tunampokea Thimoté Kambale, mkuu wa kikundi cha Makanisa ya Kitume ya Neoapostolique ya REAC, ni mmoja wa washiriki wa mafunzo yaliyofanyika huko Bunia, kwa manufaa ya takriban viongozi Mia moja makumi tano wa kidini. Ilikuwa kuhusu kukuza utamaduni wa amani na kuishi pamoja Ituri. Mafunzo haya yaliandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la Acra Peace Bulding kwa nia ya kuwashirikisha katika kuhamasisha makundi yenye silaha ili kuweka chini silaha zao. Mchungaji Timothée Kambale anazungumza na Ezekiel MUZALIA.
/sites/default/files/2024-02/invite_bunia_timothee_kambale.mp3
Leave feedback about this